UJUMBE WA KIROHO NDANI YA UUMBAJI WA ULIMWENGU


Ndugu wapendwa wakati uliopita , tulisoma katika kitabu cha mwanzo1:1-13. Katika mandiko hao, tiliona kazi ya Mungu aliofanya katika siku tatu.Nasasa tunaendelea kusoma kitabu cha  mwanzo1:14-23.

Wapendwa ili mtu aishi nilazima azaliwe kutoka tumboni mwa mama yake kasha azaliwe kwa maji na kwa roho mtakatifu. Huo ndie bibilia inaita muzaliwa wa pili.Nina aliezaliwa mara ya pili? Niule aliesikia neno la Mungu na akatambuwa sura yake machoni mwa Mungu naakatubu  toka moyoni mwake ,akapata msamaha wa dzambi.     Huo ndie mzaliwa wa pili.

Mwanzo1:14-23.

Mandiko inaseme ya kwamba Mungu aliumba mwangaza mbili mikubwa.Mukubwa kuongoza mchana na mdogo kuongoza usiku , kisha akaumba na nyota.Bila mashaka hii myangaza mbili ni jua na mwezi.Hii myangaza inatufundisha nini na inamaanisha nini kiroho? Kama mulivyo soma shule la secondary,ndani ya somo la Geography wanaseme eti mwezi huezi ukatoa mwangaza kabla ujaangazia na jua .Nilazima jua liangazie mwezi ili upate kutoa mwangaza. Sawa sawa,jua rinamaanisha Yesu Kristo kiroho na mwezi unamaanisha sisi wakristo kiroho.

Vile vile mukristo haezi akaangazia ulimwengu kabla ajampokea Yesu Kristo kama muokozi ndani ya moyo wake.

.              Yohani1:3-9, 9:5

Kumbuka ya kwamba mwanzo kulikua neno na neno alikua pamoja na Mungu na neno alikua Mungu. Ni nani alietoka mbinguni?

Ni Yesu kristo alieangazia ulimwengu.Kama mtu anasikia neno la Mungu, akaamini na neno likapata chumba ndani ya moyo wake, ni kwamba amempokea Yesu kristo moyoni mwake, kama Yesu kristo anaishi moyoni mwake ,anamuangazia.

Tangu wakati huo ,Mungu anamuita mzaliwa wake wa pili na roho mtagatifu anaanza kushuhudia hao wakati huo huo.

Mwanzo1:20-23

Mandiko matakatifu anatueleza ya kwamba Mungu aliwaumba samaki  wa bahari na akawaumba ndege waangani..Hawa samaki na ndege wa natufundisha nini na wanamaanisha nini kiroho? Samaki wanamaanisha wale waliozaliwa mara ya pili kwa maji na kwa roho mtakatifu. Wakati Mungu aliumba samaki alikua anajua hawataishi kwenye udongo.Mungu alikua anajua ya kwamba ni raisi kufa, kama mnavyojua dakika tano zimetosha ili samaki akufe akitoka majini. Mungu akawaumba ndani ya bahari kama makao yao.na akawapatia mabawa ili waogelee bila tatizo lolote.Samaki anafurahia kuishi majini  na wanahifaziwa vizuri sana.

Ndivyo ilivyo katika njia yaokovu mkristo anapashwa kuishi kwa neno la Mungu.

Ngoja ni wapatie ushuhuda , tangu nibatiziwe ndani ya maji mengi, kulingana na mandiko matakatifu nilikua mzaliwa wa pili kwa jina.Sababu gani na wambia hivi? Ni kwamba imani yangu wakati huo ilkua inasimamia kwenye sheria za kanisa,miujiza na kuchunga sheria sana.Imani yangu ilikuwa haisimamie kwa neno . Mana nilikuwa wakimwili.

Nilikuja kuzaliwa mara ya pili kweli kweli ,tangu niliposikia habari njema ya ukweli ilikua tarehe 18 mwezi wa ine 2009.

Nilisikia neno la Mungu, nanikatambuwa sura yangu machoni mwa Mungu, nikatubu toka moyoni mwangu na nikapata msamaha wa dzambi.Tangu wakati huo ndipo Mungu alinijua kama mzaliwa wake wa pili na roho Mutakatifu akaanza kushuhudia hao.

John 15:3, Hebrew10:15-17.

Yesu kristo aliambia wanafunzi wake ya kwamba wametakaswa na neno aliewambia .Neno hilo lipo kwa kukutakasa, kama umesikia neno  la Mungu ,ukaamini na ukatubu tangu moyoni mwako, neno lenyewe  linakutakasa. Pale ndipo Mungu anakuona kama

Mzaliwa wake wa pili na roho mtakatifu akaanza kushuhudia hao.

Bado tumendelea kusoma kitabu cha mwanzo1:20-23.

Mandiko matagatifu anasema ya kwamba Mungu aliumba ndenge waangani. Ni nini Mungu alikua anataka kutufusha na ndege wanamaanisha nini kiroho? Ndegewanamaani wale walio zaliwa mala ya pili. Watu wengi wakiona namna ndege wanaruka na wakawaza kusu makao wao ambao ni matawi ya miti. Wanawaza ya kwamba ndege wana matatizo ndani ya maisha yao.Alakini yale sio matatizo bali ni utukufu wa Mungu kwao, sababu Mungu alipendezwa na ndege ziishi yale maisha.

Psalm139:8-12, Isaiah 40:31.

Kumbuka ndege wanamaanisha wale walio zaliwa mara ya pili,wale waliozaliwa mara ya pili Mungu anawavika utukufu wake kisha wanaanza kuluka kama ndege kiroho.

Mateyo 6:26, 6:31-34.

Mandiko matakatifu ya kwamba ndege  hawalimi, havuni na hawatunzi chakula chao galani, alakini Mungu wa mbinguni anawalisha. Munaona namna Mungu anawatunza ndege. Ndivyo Mungu anawatunza waliozaliwa mala ya pili.

Psalm104:21-22.

Bibilia inasema ya kwamba hata na samba Mungu anawapatia mawindo. Je samba anapata chakula kwa Mungu,vipi kwa waliozaliwa mara pili? Je samba na ndege wanasamani kuzidi waliozaliwa mala ya pili kwa Mungu? Apana Mungu atenda kazi yake.

Petro5:6-7.

Wapendwa shetani anapatia watu roho ya kufanya kivyao kwa kutatua matatizo yao na kupigania maisha  yao kivyao, alakini bibilia inasema je? Nyenyekea chini ya mkono wa Mungu wenye mamlaka,na Mungu nae atakuhudumia.

Wakati ujao tutaona kazi Mungu alifanya siku ya sita.

Kwa ninyi ambae mnasoma  blog yetu amani na nema kutoka kwa Mungu view nanyi.Amen.

TUJIJUKENONE@GMAIL.COM

Jeannepomuscene12@yahoo.fr

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s